Nilisoma sasa usiku ya leo. Nilisikiliza muziki wiki hii - jane remover na of montreal. Nilikazi kwa bibi yangu leo kwa bustani yake. Ndugu zangu na mimi tulipika pizza ya nyumbani jikoni. Nitahitaji kusoma kinorwe, nimejaribu kusema vitabu zaidi.
Bado nipo nyumbani ya mpenzi wangu. Sasa tunafanya kitu kwa kompyuta (kazi kwa yeye, tovuti kwa mimi). Tutafanya kupika 'spam musubi' pamoja baadaye usiku ya leo. Kuna sana nitajifanza bado kwa kiswahili.. Nitaenda nyumbani kesho kwa basi.
Leo nilituma ujumbe kwa watanzania kwa reddit. Ninajisikia wasiwasi kuhusu kusema kwa yao. Niko nyumbani ya mpenzi wangu. Ninajisikia hasira kwa sebabu yeye ni busy sasa. Yao alitaka kutazama filamu, lakini sijui sasa.