Nilipokuwa Tanzania Julai, nilikutana rafiki yangu Barizi. Nilienda kwenye duka kununua vitabu na yeye alinionyesha Arusha. Tulienda maasai market na uwanja wa mpira. Alitoa nambari yake na tunaongea bado.
Tunaongea kuhusu tofauti kati ya Tanzania na Marekani. Yeye alihitimu kwa chuo cha upishi. Ninakuwa chuo bado. Yeye kufanya kazi kwa bidii kuuza katika barabara.