Kunihusu

Jina langu ni Killian na nimetoka USA. Nina miaka kumi na tisa. Nilianza kujifunza kiswahili kwa sebabu nilisafiri Tanzania Julai, lakini ninapenda lugha hii sana hivyo niliendelea kujifunza zaidi baadaye safari yangu.

Ninapenda reptilia - Nina nyoka wawili na mijusi wawili. Nilipata reptilia wangu wa kwanza nilipokuwa 13. Nilipata sita reptilia, lakini mbili alikufa kwa huzuni. Unaweza kuona picha hapa.

Ninachora wanyama na wakati mwingine watu. Ninapenda rangi michoro kwa muundo mno. Ninacheza bass. Napendelea bass ya orchestra, lakini ninamiliki bass ya umeme. Nataka kutengeneza muziki zaidi.